EXCLUSIVE (TANZANIA) – Tecno kumchana msanii wa kike wa Bongo aliyedanganya amelala naye!
4 January 2016

Msanii wa Nigeria, Tecno ameamchana model wa video na msanii mchanga, Gigy Money aliyezusha kuwa amelala naye kwa kupost picha Instagram akiwa naye chumbani.

Gigy akiwa na Tecno chumbani.
Ambapo Tecno alihakikisha ujumbe wake unaeleweka na kumfikia mlengwa, aliandika ujumbe wake kwa lugha ya Kiswahili (Ni wazi kuwa aliandikiwa na mtu, wengi walihisi ameandikiwa na Lulu)
“Hahhaha we Malaya umelala na meneja wangu alafu ukaletwa kwangu maana uliomba upige picha na mimi. Sasa hivi unaleta story huko kuwa umelala na mimi. Picha itakaa dakika 20 tu. Katafiute maisha Gigy ..
Lulu ulitisha heshima nyingi zikurudie kwako! Still love my Tanzanian fans forever”.

Kabla ya hapo mrembo huyo alikuwa tayari ameshakula matusi toka kwa mashabiki kiasi cha kumfanya apost ujumbe huu.
“When You know Bitches Wanna be you and Wish it was Them.. Relax bitches my lane is way Up for you to deal with it… If I gave him P*ssy that’s none of your business and if I didn’t still doesn’t concern you.. keep talking As*whore and Entertain your shitty mouth… Fuck Off Bitches”.

Tecno akiwa na Lulu (Elizabeth Michael).




Leave your comment