COVER SONG (TANZANIA) – Pipi – Hello (Adele)
4 January 2016

Msanii Pipi ametoa zawadi ya Cover ya wimbo wa Adele ‘Hello’ kwa mashabiki wake. Wimbo huo umekuwa produced by Valentino na Sifa.
Ikiwa hiyo ni cover ya nne kwa wasanii wa Afrika Mashariki kuifanyia cover nyimbo hiyo, mojawapo ni kutoka kwa mwanadada Dela kutoka Kenya, Anteneo na Sultan Wa Pwani wa Tanzania.
Sikiliza cover hiyo hapa;




Leave your comment