EXCLUSIVE (TANZANIA) – Rapper Mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuachia album mpya Jan 6!
4 January 2016

Rapper aishiye Marekani ‘Minnesota’ mwenyeasili ya Tanzania ambaye amewahi kushirikishwa na Kanye West kwenye wimbo uitwao ‘All Day’.
Msanii huyo ameshare na mashabiki wake kuhusu kuachia album yake mpya ‘Northern Lights’ kwenye ukurasa wake wa Twitter. Album hiyo inatarajiwa kutoka hivi karibuni Januari, 6 mwaka huu.





Leave your comment