EXCLUSIVE (TANZANIA): Professor Jay Tayari Ameingia Ndani Ya Bunge Dodoma
20 November 2015

Wabunge Mchungaji Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Joseph Haule ‘Prof. Jay’.
Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule a.k.a Professor Jay tayari ameingia ndani ya Bunge Dodoma Tanzania… Proj. Jay amesema amefurahi kwa kuaminiwa na wananchi wa Mikumi Morogoro kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge, amefurahi na anaamini kuanzia sasa ataendelea kushughulikia majukumu yake kama Mbunge.
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Ngoma moja tu ya Tanzania imefanikiwa kuingia katika Top 15 ya Trace Urban Tv
Joseph Haule+Joseph Mbilinyi ndani ya Bunge… YES, ni majina makubwa kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyochimbukia muziki wa Rap Bongo… wao wamesema ni wawakilishi wa wale waliowachagua na kazi yao ni kuhakikisha wanatumikia wananchi kwa kutekeleza ahadi.




Leave your comment