Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Ngoma moja tu ya Tanzania imefanikiwa kuingia katika Top 15 ya Trace Urban Tv
18 November 2015

Chati ya muziki ya kituo cha kimataifa, Trace Urban imekamilika jumamosi iliyopita kwa kuonyesha ngoma zote kali zilizofanikiwa kuingia Top 30 ya tarehe 14 Novemba.
Katika chati hiyo wimbo pekee uliofanikiwa kugusa Top 15 kutoka Tanzania ni Game yakwao Navy Kenzo. Na hii ndiyo list iliyoingia Top 15;
Ty Dolla Sign ft Rae Sremmurd &Future- Blasé- #15
Di’ Ja ft Patoranking – Falling for You-#14
Fetty Wap ft Remy Boys- 679- #13
Phyno- Connect- #12
Sauti Sol – Shake Yo Bam Bam #11
Adele - Hello #10
Dj Shabsy ft Kiss Daniel & Sugarboy – Raba #09
Drake – Hotline Bling #08
Justin Bieber – What Do You Mean #07
R City ft Adam Levine – Locked Away #06
Harrysong ft K Cee,Olamide, Iyanya &Orezi – Reggae Blues #05
Future ft Drake – Where Ya At #04
Tekno – Duro #03
Navy Kenzo ft Vanessa Mdee – Game # 02
The Weekend – The Hills #01
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Angel Prince Biography
27 May
- new song
26 May


Leave your comment