Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA): Nikki Wa II Aelezea Maisha Yake Ambayo Wengi Hawayajui(Video)
20 November 2015

Nikki wa II ni rapper mwenye headlines zake ndani ya hiphop Tanzania na hits zake kama ‘kiujamaa’ na ‘nje ya box’ ambapo time hii alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Exclusive Interview kwa kuelezea pia maisha yake ambayo wengi hawayajui, bonyeza play kwenye hii video yake hapa chini
EXCLUSIVE (TANZANIA)- Dully Sykes na Yamoto Band kuachia ngoma mpya ijumaa hii
WATCH
SOURCE: Millardayo
MENGINE:
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Radio hazifanyi usawa katika upigaji wa muziki wa wasanii – Peter Msechu
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Oyo Oyo oyaa
10 September
- Market Trend On FootWear Major Industry
11 September
- RMG Trade on GOLD
11 September





Leave your comment