EXCLUSIVE (TANZANIA)- Dully Sykes na Yamoto Band kuachia ngoma mpya ijumaa hii
19 November 2015

Kundi la Yamoto Band limefanikiwa kufanya kolabo na msanii nguli Dully Sykes. Ambapo msanii huyo mkongwe amesema ngoma hiyo iko tayari pamoja na video yake na wanatarajia kuiachia ijumaa ya wiki hii. Kaa tayari kwa kupata buraudani kutoka kwao.
Source:Millard Ayo




Leave your comment