EXCLUSIVE(TANZANIA): ''Zari ni mwanamke anayejitambua...anajua mwanaume anahitaji kupikiwa na kuandaliwa maji'' Diamond Asema

Inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusu mipango ya harusi ya staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Zari sasa basi ameyajibu kupitia kipindi cha Mseto cha Citizen kinachoendeshwa na Willy Mtuva.

‘Harusi haina muda mrefu kwa sababu unajua ndoa inakuwa inapagwa na mwenyezi Mungu kwa hiyo nisingependa kuzungumza kitu cha uongo, kwanza tulikuwa tuzae mtoto na hatukutaka kupalamiana kuoana pasipo kujuana kiundani zaidi kwa hiyo panapomajaliwa nitatangaza rasmi ni lini masuala ya ndoa‘ – Diamond Platnumz

NEW SONG (TANZANIA)- Nakutunza- Barnaba ft Jose Chameleone

Willy Mtuva: Zari ni mtu maarufu nje ndani ya nyumba yukoje?

NEW RELEASE (TANZANIA)- Allawi Junior ft Barnaba Classic- Bado

‘Yuko vizuri kwasababu kwanza kikubwa anajua kuna maisha ya umarufu na maisha ya kutafuta pesa na usipoweza kujiongoza mtu anaweza kutumia pesa vibaya anajua kwamba ana mwanaume ambaye anahitaji kupikiwa, anatakiwa kuandaliwa maji na vitu vingine kwa hiyo ni mwanamke anayejitambua’ – Diamond Platnumz

RELATED

 NEW VIDEO (TANZANIA)- ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini Ft AKA kutambulishwa MTV Base Nov 10

Leave your comment