EXCLUSIVE (TANZANIA): Christian Bella Pamoja Na Mkongwe Koffi Olomide Ndani Ya Studio!

Kama umekuwa karibu na mtandao wa Instagram utakuwa umeshuhudia mastaa wengi wakipost vipande vya video ya wimbo mpya wa Koffi Olomide unaoitwa ‘Selfie’>>> http://mdundo.com/news/5876

Koffi ni mkongwe wa muziki toka Congo, ni moja ya majina machache yaliyodumu kwenye muziki kwa muda mrefu sana. Hakuna mwenye wasiwasi kuhusu ubora na ukali wa Christian Bella inapokuja kwenye suala la muziki wake.

SIDEBAR

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Video ya Ningefanyaje ya Ben Pol kufanyika Afrika Kusini -Justin Campos

Kuna picha amepost Christian Bella kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Koffi ndani ya studio halafu caption inasomeka hivi: ‘Nikiwa studio na big artist @koffiolomide_officiel .. Kazi nzuri inakuja‘

Hiyo ni dalili nzuri kwamba collabo ya Koffi Olomide na Christian Bella ndio story nyingine kubwa inayokuja any time kuteka vichwa vya habari za burudani

">

Leave your comment