EXCLUSIVE (NIGERIA)- Mr Flavour kufanya tamasha na band yake Tanzania December 8

 

 

Msanii wa Lagos-High life Maestro, Flavour kufanya tamasha terehe 8 Disemba mwaka huu na band yake “December to Remember”. Kwa mujibu wa tovuti ya news 24 Nigeria imesema kuwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa Flavour kufanya tamasha Tanzania, ambayo inaweza amehamasishwa na kolabo aliyofanya na msanii pendwa wa Tanzania Diamond Platnumz katika wimbo wa Nana.

Leave your comment