EXCLUSIVE (TANZANIA): Shilole Kuchora Tattoo Nyingine Ya Nuhu

Watu wengi hupenda kuchora tattoo kwa kumbukumbu za siku muhimu, au kitu fulani ambacho anakipenda. Hivi karibuni msanii Shilole alichora tattoo ya mpenzi wake Nuhu Mziwanda kifuani ikiwa ni ishara ya mapenzi yake kwa mpenzi wake huyo.

EXCLUSIVE (TANZANIA): Msanii Diamond Kupongezwa Na MTV Base

Lakini hiyo haitoshi mwanadada huyo akizungumza na Global Publishers asema ana mpango wa kuchora tattoo nyingine sehemu ya kalio lake moja, ikiwa ni ishara ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati.

“Mimi bado tattoo moja ya muhimu sana ambayo nataka kuchora kwenye kalio ili kuonyesha jinsi gani navyompenda mpenzi wangu” alisema Shishi.

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Sheddy Clever Kutoa Wito Kwa Watayarishaji Wenzake Wa Muziki

Leave your comment