Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA): Msanii Diamond Kupongezwa Na MTV Base
16 October 2015
Baada ya kujinyakulia tuzo ya AFRIMMA wiki iliyopita huko Dallas Texas Marekani msanii Diamond apongezwa na MTV Base kupitia ukurasa wao wa twitter kwa kushinda tuzo ya The Best African Act katika tuzo za Mtv EMA (Europe Music Awards). Katika ukurasa wao wa twitter imesomeka: ''#MTVEMA|Congratulation @Diamondplatnumz who is the Best African Act.''

Pia alipongezwa na kundi la Sauti Sol ambao walishinda tuzo hizo mwaka jana.
RELATED
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Oyo Oyo oyaa
10 September
- Market Trend On FootWear Major Industry
11 September
- RMG Trade on GOLD
11 September





Leave your comment