NEW RELEASE (TZ): Msanii Songa Kuachia Wimbo Mpya Leo

 

Msanii Songa, anatarajia kuachia nyimbo mpya leo tarehe 15 oktoba. Nyimbo inayoenda kwa jina la 'Keki Ya Taifa'. Msanii ambae pia anatamba na kibao cha Hisia za moyoni ambacho kimetoka hivi karibuni, anakuja tena kivingine kutokana na hali ya uchaguzi ilivyo kwa sasa.

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Mdundo Mpya Wa Christian Bella Na Ali Kiba Hautoki Bila Video!

Leave your comment