EXCLUSIVE (TANZANIA): Mdundo Mpya Wa Christian Bella Na Ali Kiba Hautoki Bila Video!
14 October 2015

Christian Bella na Ali kiba walirekodi ngoma yao katika studio za Chidaz Record lakini haikutoka mpaka sasa, leo kwenye 255 Bella amesema imechelewa kutokana na kila mmoja kuwa busy, wamekuwa na mambo mengi ikiwemo mambo ya uchaguzi lakini wamepanga Jumatatu watakwenda kushoot Video, wanatarajia kutoa Audio na Video pamoja na mashabiki wao wasione ni uongo, wawe wavumilivu.
RELATED
COLLABO OF THE DAY (TZ/KENYA): Tuliza Nyavu By Rabbit, Susumila, Kaa La Moto And Vivonce!




Leave your comment