Nyimbo Mpya Wiki Hii - Tanzania

Share this article on WhatsApp and stand a chance to win an Iphone 15.

Picha: [Instagram]

Mwandishi: Stellah Julius

Tukiwa tunaelekea katika msimu wa wiki ya wapendanao mwezi huu wa February, wasanii wa Tanzania wameweza kuuelekea upepo huo vilivyo vyema mara baada ya kuachia kazi zinazoshabihana na mwezi wa mahaba wa Valentine. Zifuatazo ni kazi zilizoachiwa na wasanii hao kuelekea katika msimu wa wapendanao.

 

 

Lavalava ft Bailey RSA – Sawa

Mwanamuziki kutokea WCB Wasafi Lavalava amerudi kivingine ten ana awamu hii ameachia Sawa ngoma ambayo amemshirikish nyota kutokea Afrika Kusini. Sawa ni ngoma ya Amapiano ambayo imeweka wazi kuwa bado Bongopiano inaendelea kutamba nchini Tanzania. Kwa upande wa Audio Producer S2Kizzy amefanikiwa kupita vyema katika ngoma hiyo.

 

https://www.youtube.com/watch?v=KsAaphg2hcY

 

Kusah Ft Vanillah – Lalala

Ni siku chache tangu Kufa afanikiwe kuachia kibao chake cha Lalala ambacho amemshirikisha Vanillah msanii kutokea Kings Music. Lala ni wimbo wa mapenzi ambao Kusah na Vanillah wamejaribu kuweka wazi kuhusiana na hisia zao za mapenzi zinazochanua. Audio imefanywa na Producer Allien tranxx kutokea Pluto Republic.

 

https://www.youtube.com/watch?v=qYHmdICwkoY

 

Malkia Karen – Nakuachaje

Baada ya ukimya wa zaidi ya waka mmoja Malkia Karen amerejea tena katika anga za muziki kwa kuachia wimbo wake wa Nakuachaje. Nakuachaje ni wimbo wa mapenzi unaosifia na kunadi penzi ambalo halina sababu ya kufika ukingoni. Ngoma hiyo imefanywa na Star Jay right.

 

https://www.youtube.com/watch?v=ev7qFWeuNJk

 

Lava Lava -  Pambe Tu

Furaha imetaradadi kwa mashabiki wa Lavalava ambaye siku ya Ijumaa ameachia kibao cha Pambe tu ikiwa ni ngoma ya pili kuachia kwa siku hiyo. Kibao hicho cha pambe kimerejesha Ladha kwa lavalava zilizopendwa zaidi kama vile Ng’aring’ari Pamoja na Desh desh bila kusahau

 

https://www.youtube.com/watch?v=Azo0eLULYTk

 

Yammi x Lexsil x Ziibeats – Crazy Love

Mwanamuziki anayetamba na miondoko ya Baibuada Yammi amefunga safari hadi nchini Kenya nakwenya kukutana na Lexsil katika kutengeneza ngoma ya Crazy Love. Huu ni mwezi mmoja pekee umepita tangua Yammi kuachia ngoma yake ya Upepo mnamo mwezi wa . Yammi ameendelea kuwa kati ya wasanii wanaofanya vizuri zaidi haswa mara baada ya kuwa chini ya lebo ya African Princes.

 

https://www.youtube.com/watch?v=ScnBQAOBYkA

Top 10 songs of 2024

Free Download- Jungle by Shallipopi

Free Download - Congratulations by Ada Ehi

Free Download - Enjoy by Jux ft Diamond Platnumz 

Free Download  Do I -Phyno

Free Download  Obinasom- Mercy Chinwo Free

Free Download Only Fine Girl Remix -Spyro ft Simi Free

Free Download - Ask About Me - Mohbad

Free Download  Rush - Ayra Starr

Free Download - Hararat- Christine Shushuo

Leave your comment