HARMONIZE ADOKEZA COLLABO MPYA NA MARIOO

Picha [Radio Jambo] 

Mwandishi: Pharis Kinyua

Share this on WhatsApp and stand a chance to win an Iphone 15.

Siku chache tangu Marioo achie ngoma ya mpya ya Away ambayo amemshirikisha Harmonize, Harmonize kwa mara nyingine amedokeza ujio wa collabo nyingine baina ya wawili hao.

1. Ngozi by Crayon FT Ayra Starr
2. Jungle by Shallipopi
3. Congratulations by Ada Ehi
4. Enjoy by Jux ft Diamond Platnum
5. Do I -Phyno
6. Obinasom- Mercy Chinwo Free
7. Only Fine Girl Remix -Spyro ft Simi Free
8. Ask About Me - Mohbad
9. Rush - Ayra Starr
10. Hararat- Christine Shushuo

Ngoma Ya Away ambayo iliingia sokoni Tarehe 12 January mwaka huu kwa sasa inafanya vizuri ikiwa imeingia kwenye orodha ya ngoma zinazofanya vizuri kwenye mtandao wa YouTube.

Listen To Marioo Music For Free on Mdundo

Harmonize pia amedokeza kwamba huenda wakatoa ngoma nyingine mpya ambayo inatarajiwa kuwa collabo ya tatu baina yao baada ya Naogopa ya mwaka 2022 na Away. Harmonize pia amedokeza kuwa ngoma hiyo mpya itakuwa kwenye mtindo wa Amapiano.

Harmonize alidokeza ujio wa ngoma hiyo baada ya kuweka comment kwenye ukurasa wa Instagram wa Marioo na kuandika “THEY NEED PIANO NOW” akimaanisha kwa sasa watanzania wanahitani muziki wa Amapiano.

Kufikia sasa bado Harmonize hajaweka taarifa yoyote rasmi kuhusu ngoma hiyo ambayo bila shaka itafanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.

 Listen To Bongo Vs Naija For Free on Mdundo

Siku chache tangu Marioo achie ngoma ya mpya ya Away ambayo amemshirikisha Harmonize, Harmonize kwa mara nyingine amedokeza ujio wa collabo nyingine baina ya wawili hao.

Ngoma Ya Away ambayo iliingia sokoni Tarehe 12 January mwaka huu kwa sasa inafanya vizuri ikiwa imeingia kwenye orodha ya ngoma zinazofanya vizuri kwenye mtandao wa YouTube.

Harmonize pia amedokeza kwamba huenda wakatoa ngoma nyingine mpya ambayo inatarajiwa kuwa collabo ya tatu baina yao baada ya Naogopa ya mwaka 2022 na Away. Harmonize pia amedokeza kuwa ngoma hiyo mpya itakuwa kwenye mtindo wa Amapiano.

Harmonize alidokeza ujio wa ngoma hiyo baada ya kuweka comment kwenye ukurasa wa Instagram wa Marioo na kuandika “THEY NEED PIANO NOW” akimaanisha kwa sasa watanzania wanahitani muziki wa Amapiano.

Kufikia sasa bado Harmonize hajaweka taarifa yoyote rasmi kuhusu ngoma hiyo ambayo bila shaka itafanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.

Leave your comment