Kocha Wa Yanga Miguel Gamondi Afichua Timu Zitakazofuzu Nusu Fainali Ya AFCON 2024

Picha [Mwananchi]

Kocha Mkuu wa Yanga Sports Club, Miguel Angel Gamondi hivi karibuni, amezitaja timu 3 ambazo anadhani zinaweza kufuzu nusu fainali za AFCON 2023.

Katika video fupi iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Yanga SC, Miguel Angel Gamondi ambaye pia alijiunga na Yanga baada ya Nasreddinne Nabi kuondoka, ametabiri  timu tatu anazoamini zinaweza kufuzu kwa fainali za AFCON 2023.

 

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 56 kutoka Argentina alizitaja timu za  Senegal, Morocco, na Ivory Coast kwamba Zina nafasi kubwa ya kufuzu nusu fainali za AFCON ambazo zinaendelea kurindima pale nchini Ivory Coast.

Listen 2023 Amapiano Mix For Free on Mdundo

Kocha huyo alidokeza kuwa Kwa kusema, "Senegal, Morocco, Ivory Coast ni timu ambazo Zina nafasi kubwa ya kufuzu nusu fainali na pia kuna timu imu moja ambayo ni kama surprise”

 

Ikumbukwe kuwa baadhi ya wachezaji wa Yanga pia wapo huko Ivory Coast kwa ajili ya michuano hiyo ya AFCON. Baadhi ya wachezaji hao ni pamoja na Stephen Aziz Ki anayechezea Burkina Faso pamoja na Djigui Diarra anayechezea timu ya Mali.

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2024 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment