LYRICS DAYOO - HUU MWAKA

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss

Oya! Si eti eeh mmmh
Oh no no no, ooh aah
(Ma Feelings make It)

Download Dayoo Music For Free on Mdundo

Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss

Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh

 

Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona)
Yale yaliopita yametukomaza
Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
Hata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu

Kama unadanga danga sana
Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu

 

Na ukipata limama, eh likomoe

Likupe pesa huu mwaka utoboe

Oya usikae kizembe na usichague jembe

Kama mkulima lima

Kama unaimba imba utoboe

 

Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh

Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
Hata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu

Kama unadanga danga sana
Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu

 

Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe na usichague jembe
Kama mkulima lima
Kama unaimba imba utoboe

 

 

Leave your comment