Harmonize SINGLE AGAIN Yaandika Historia Mpya TikTok


[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Mwanamuziki kutoka Tanzania, Harmonize ameendelea kupeperusha vyema bendera ya Bongo Fleva baada ya wimbo wake wa “Single Again” kufanya vizuri kwenye mtandao wa Tiktok. 

Tangu kuachiwa kwake “Single Again” ya Harmonize imepokelewa vyema na mashabiki na siku chache zilizopita staa kutokea Nigeria, Davido alimpongeza Harmonize kupitia ujumbe wa Instagram kwa kusema kuwa wimbo huo ni mzuri na anausikiliza

Kufikia sasa kwenye mtandao wa Tiktok, “Single Again” ya kwake Harmonize tayari imeshatumika kwenye video takriban Milioni 1 kitu ambacho ni nadra sana kwenye nyimbo za Tanzania.

Aslay Adokeza Ujio Wa Tamasha Lake

Ngoma ya Mavokali “Komando” ni moja kati ya ngoma kutoka Tanzania ambazo zimetumika zaidi Tiktok kwani kufikia sasa imeshatumika kwenye video zaidi ya Milioni 5. 

Aidha, “Single Again” ya Harmonize pia imeshakusanya views zaidi ya Milioni 369 kwenye mtandao huo unaomilikiwa na Byte Dance. 

Quick Links

Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment