Aslay Adokeza Ujio Wa Tamasha Lake


[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Msanii kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Aslay hivi karibuni amedokeza ujio wa tamasha lake kubwa linalotarajiwa kufanyika hapa Tanzania hivi karibuni. 

Mwaka huu, Aslay anaadhimisha miaka 10 ya kuhudumu kwenye kiwanda cha Bongo Fleva na katika kuadhimisha huko ametangaza kuja na tamasha lake maalum ambalo linatarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka 2023. 

Nyimbo Mpya Tanzania Wiki Hii

""Dear Mashabiki wa Aslay, Mashabiki wa mziki mzuri, mashabiki wa Bongo Flava, mashabiki wa mziki wa Africa. Ninafuraha sana kuwataarifu, baada ya miaka 5!!! kipenzi cha Tanzania Aslay Isihaka Nassoro narudi on stage for a LIVE Concert kusherekea Miaka Yangu 10 Kwenye Mziki.” Aliandika Aslay

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni, Aslay aliachia ngoma 10 kwa pamoja ikiwa ni katika harakati za kuadhimisha miaka yake 10 kwenye Bongo Fleva.

Quick Links

Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment