NAKUJA REMIX: Tommy Flavour Atangaza Wasanii Atakaowashirikisha

[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Kama uliipenda ngoma ya Nakuja kutoka kwake Tommy Flavour na Marioo basi bila shaka utafurahi ukisikia kwamba,  remix ya wimbo huo inakuja hivi karibuni. 

Nakuja iliingia sokoni mwezi Februari ikiwa ni ngoma ya kwanza kwa mwaka 2023 na tangu kuachiwa kwake, ngoma hiyo iliyotayarishwa na Abbah Process imekuwa maarufu sana huku video yake ikiwa tayari imeshakusanya watazamaji takriban Milioni 4 Youtube. 

https://www.youtube.com/watch?v=OJw3i72JEUc&pp=ygUUbmFrdWphIHRvbW15IGZsYXZvdXI%3D

Akizungumzia kuhusu remix ya wimbo huo kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Tommy amedokeza kwamba Nakuja Remix iko mbioni na kuongeza kuwa wasanii watakaoshirikishwa ni pamoja na Darassa na Maua Sama. 

“Wasanii watakaoshirikishwa ni Darassa na Maua, hao wengine watajua ngoma ikitoka” alizungumza Tommy Flavour kwenye mahojiano na Clouds FM 

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment