Ubashiri Mechi ya Al hilal Vs Real Madrid - Fainali Club world cup - Mdundo Alt

[Picha:]

Mwandishi: Stellah Julius

Pata na upakue Ubashiri wa Mechi mbalimbali ndani  ya Mdundo

Fainali za Club world cup zitafanyika siku ya Jumamosi ambapo Al hilal watakipiga dhidi ya Real Madrid mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopa Rabat nchini Morocco.

Kufika katika fainali Al hilal walipita katika mikono ya Flamengo kutokea Brazil na kushinda bao 3-2, huku nao Real Madrid wakiwa toa Al Ahly kwa ushindi wa bao 4-1.

Fainali hizo za aina yake zina muweka Madrid katika nafasi ya kushinda ubingwa huo kwa mara tano akiwa kama bingwa wa mashindano hayo mara nne zilizopita.

Al hilal kutokea Saudi Arabia wao hii itakuwa ni mara Yao ya kwanza kama watafanikiwa kushinda mashindano hayo.

Hii inaweza kuwa a great come back kwa Ancelotti ambaye alipata kipigo katika fainali za Super Cup dhidi ya Barcelona na kuwafanya Los Blancos wakose ubingwa wao wa kwanza kwa msimu huu.

Kwa Timu zote mbili kupata mabao odds ni 1.77

 

Leave your comment