Lyrics: Ibraah- Maumivu

[Picha: Instagram]

Pata na upakue Ubashiri wa Mechi mbalimbali ndani  ya Mdundo

Mungu ndo aliumba mbalamwezi na jua na tena kwa majira tofauti kutustiri

Aaaah ona ye pekee ndo anayetambua yupi anasema ukweli na yupi msiri

Aaaah na asikwambie eti kwamba niko sawa usisikie uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza

Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi

Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa,

nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya

Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa,

Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh)

Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri)

Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho)

Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah)

Umenicha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye)

Sitaki kuwa kobe la mchana kipitacho mbele nikakobelea tu na hisia siwezi zidanganya,

 

Nimezama nishakuzoea boo

Mapigo ya moyo yatafeli kweli, isigeuke vita karaba na kirikuu, tuliahidi si tutapendana,

Tutasemaheana sa mbona unaniruka weee

Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah

Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere, kifuani utalala, utalala aaaah

Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa,

Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya

Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa, unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eeeh)

Umeniacha na nani? (sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri)

Umeniacha na nani (nimekuwa dhaifu inauma na roho)

Umeniacha na nani (hata huruma hauna ah hauna aaah)

Umeniacha na nani (nani ihi, ni nani umeniacha na yeye

Mmmh aaah oyeyeye aaah, chinga ah, Konde Music Worldwide, Aaah

 

Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere, maana ni hasara hasara aaah

Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere, kifuano utalala, utalala aaaah

https://www.youtube.com/watch?v=2yTTOWrTyeI

Leave your comment