Lyrics: Jux Ft Zuchu - Nidhibiti

[Image Source: Instagram]

Get Free Music Updates and Mixes on Telegram

Una hali gani unayefanya moyo wangu unadadarika

Niko taabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka.

Umeniweka rehani changu kiwiliwili moyo umeuteka

Umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa

Kama mapenzi kitabu ungekuwa kurasa ya katikati

Ukichanwa wewe stori haiendelei

Aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati

Ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi

Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani

Mimi ndege wako sa manati ya nini

Nakupa ruhusa weeee!

 

Nidhibiti nidhibiti nidhibiti

Nakupa ruksa weee!

Nidhibiti nidhibiti nidhibiti

 

Ewee baby Eweee baby Mke wangu mume wangu

Mimi na wee hadi milele

Ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu sisi sijali nisharidhia

 

Yayaah

Wabaya wanafiki watafute viti wakae kwa kutulia hayaaa

Upendo kwetu faradhi umepita tsunaa

Rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa

Na mimi kwako ni radhi kufa kuzikana

Waambie wavunje nazi si tumeshindakana

Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani

Mimi ndege wako sa manati ya nini

 

Nakupa ruhusa weeee!

Nidhibiti nidhibiti nidhibiti

Nakupa ruksa weee!

Nidhibiti nidhibiti nidhibiti

https://www.youtube.com/watch?v=Eh9puj7mSTc

Leave your comment