World Cup Team Review: Kikosi cha U.S.A Nchini Qatar - Mdundo Alt

[Picha: Fox 5 Antlanta ]

Mwandishi: Stellah Julius

Pata na upakue Ubashiri wa Mechi mbalimbali ndani  ya Mdundo

Harufu ya kombe la dunia imeendelea kunukia mara baada ya USA nao kutangaza kikosi cha wachezaji wanaokwenda kuwania kombe la dunia nchini Qatar huku Gregg Berhalter naye akikwe pipa na wachezaji wake hao.Christian Pulisic ndiye nahodha wa timu hiyo ya USA na wafuatao ndio wachezaji wa kikosi hicho cha watu 26 wanaokwenda nchini Qatar

Walinda lango

Ethan Horvath - Luton Town

Sean Johnson - New York City FC

Matt Turner - Arsenal

Download FREE Mp3 Music  by SWAT Matire on Mdundo.com

Safu Ya Ulinzi (Beki)

Cameron Carter-Vickers - Celtic

Sergino Dest - AC Milan

Aaron Long - New York Red Bulls

Shaq Moore - Nashville SC

Tim Ream - Fulham

Antonee Robinson - Fulham

Joe Scally - Borussia Mönchengladbach

DeAndre Yedlin - Inter Miami

Walker Zimmerman - Nashville SC

Safu Ya Viungo

Brenden Aaronson - Leeds United

Kellyn Acosta - Los Angeles FC

Tyler Adams - Leeds United

Luca de la Torre - Celta Vigo

Weston McKennie - Juventus

Yunus Musah - Valencia

Cristian Roldan - Seattle Sounders

 

Safu Ya Mashambulizi

Jesus Ferreira - FC Dallas

Jordan Morris - Seattle Sounders

Christian Pulisic - Chelsea

Gio Reyna - Borussia Dortmund

Josh Sargent - Norwich City

Tim Weah - Lille

Haji Wright - Antalyaspor

Leave your comment