HOMA NI NZURI

Wimbo wangu "Homa" niliofanya na Galatone umenionesha ni kwa namna gani nimeanza kukua na kueleweka kwa mashabiki zangu na Media tofauti tofauti ndani na nje ya Tanzania.

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa hatua hii na kwa mashabiki zangu niwaambie tu kwamba gari ndio kwanza limewaka kwaiyo wafunge mikanda tuianze safari rasmi sasa

Shukrani pia kwa Producer Bear kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye wimbo huu,Tonee Blaze kwa Video nzuri na kali nasema ASANTENI SANA na tuendelee kuifuatilia kuputia YouTube na platforms nyingine zote

Leave your comment