Nyimbo Mpya: Mac Voice Aachia Video Mpya ‘Mama Mwenye Nyumba’

[Picha: Mac Voice Instagram]

Mwandishi: Omondi

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Msanii tajika kutoka Tanzania Mac Voice ameachia wimbo mpya wenye jina ‘Mama Mwenye Nyumba’.

Kwenye ngoma hii, Mac Voice anamsifia mke wa mume mwingne ambaye amempendeza.

Soma Pia: Wasifu wa Mac Voice,maisha yake ya mapema, kazi yake ya sanaa...

Mistari ya wimbo huu imetungwa kiushairi na inadhibitisha kuwa Mac Voice sio tu mwimbaji mzuri, bali pia mwandishi aliyebobea.

“Niue nisiue? Mwanamke wa mtu sumu, kuna jela na gesti nami nyuma nina majukumu,” Mac Voice aliimba.

https://www.youtube.com/watch?v=sbcTlugKHKI

Leave your comment