Wasifu wa DJ Bike, Kazi na Show Zake za Radio

[Picha: DJ Bike]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Dj Bike ni nani na ana miaka mingapi?

Jina la usani: DJ Bike 

Jina halisi: Ramadhani  Mohammed Mwaita 

Mix tapes zake ni za muziki gani: Reggae

DJ Bike alianzaje kazi yake ya kuwa DJ na lini?

DJ Bike alianza kazi ya kuwa DJ mwaka 2005 nchini Tanzania. Kufikia sasa ana tajriba ya miaka kumi na sita katika kazi hiyo.Vile vile amecheza wenye hafla mbali mbali na vilabu tofauti Tanzania.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Massu, Kazi na Show Zake Kubwa

Ni vituo gani za Habari Ambazo DJ Bike amefanya kazi nazo?

Katika harakati zake za kucheza santuri, DJ Bike amefanya azi na vituo mbali mbali vya habari kama vile:

  • Radio One Fm Stereo iliyoko Dar es Salaam kutoka 2009-2015
  • UFM107.3 ya Azama Media toka mwaka 2015 na ndio sehemu anayofanya kazi mpaka sasa.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Summer TZ, Show Zake Kubwa na Tuzo Alizoshinda

Radio Show anazofanya ni zipi?

  • MTAA 107 katika Ufm Radio
  • Reggae Avenue Ufm Radio

Kwingineko ni kuwa ana kampuni yake kwa jina  Str8upvibes.Alianzisha kampuni hio mwaka wa 2010.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Feruuh, Nyimbo Zake Bora na Show Zake Kubwa

Leave your comment