Ramadhan: Mixtape na Nyimbo Tano za Kuadhimisha Mwezi Mtukufu

[Picha:Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Waislamu kote ulimwenguni wanaadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, ambao ulianza mapema wiki hii.

Soma Pia: Nyimba Mpya: Lulu Diva Aachia Ngoma Mpya Kwa Jina ‘Mama' [Video]

Wakati wote wa likizo, Waislamu hufunga kutoka asubuhi hadi machweo na hushiriki karamu za usiku itwayo futari. Hivyo, katika kuwaheshimisha ndugu zetu wa Islamu wakati huu wa maombi na kufunga, tumewaandalia  orodha ya mixtape na nyimbo tano kali za mwezi huu mtukufu:

Soma Pia: Tembo Vs Chui: Harmonize, Rayvanny Waachia Nyimbo Mpya ‘Vibaya’ na ‘Nyamaza’

Ramadhan kareem #01 #MdundoMix

Mixtape hii ina nyimbo za Bin Zakir-Ya Ramadhan,Yahya Mohammed,Fadhil Omar na Raudha Ssalaam. Nyimbo hizi zinangazia umuhimu wa mwezi huu. Pakua mix hii unapozihitaji kwenye mdundo.

Ramadhan Mubarak #06 #Mdundomix

Mix hii imebeba nyimbo nne, ya kwanza ikiwa ya Raudha Kids  wanakaribisha ramadhan kwa ajili ya kuomba radhi kwa Allah. Nyimbo zingine kwenye mix hii ni kama vile Mos-Classic,Nice Flavour na Knockout-music.

Fadhila Za Ramadhan #04 #MdundoMix

Nice Flavour anaanzisha mix hii kwa mdundo wa kukaribisha Ftari. Pakua mix hii uburudike na nyimbo zingine nzuri za  Ramadhan.

Ramadhan ya Nedy Music

Pakua wimbo huu ulioachiwa na msanii Nedy Music kwenye Mdundo,ujikumbushe unachostahili kufanya ndani ya mwezu mtukufu.

Ya Ramadhan Lavalava ft Ricardo Momo

Huu ni wimbo wake Lavalava akimshirikisha kakake Diamond Platnumz Ricardo Momo. Wawili hawa waliachia wimbo huu miaka mitatau iliyopita na maudhui yake yakiwa kusisitiza unyenyekevu na kusaidia maskini. 

https://www.youtube.com/watch?v=1NseFejpt9c&ab_channel=LavaLava

Leave your comment