Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Yajue mafanikio ya msanii Josephs Quartzy kwa mwaka 2021.
9 April 2021
Msanii cipukizi wa kizazi kipya Josephs Quartzy amezidi kuumiza anga za muziki barani Africa baada ya kujihakikishia uwepo ake ndani ya tasnia hiyo.
Josephs Quartzy akiwa kama msanii anayejitegemea amefanikiwa kuweka jina lake kati ya wasanii 100 wenye kutazamiwa zaidi barani africa akiwa na kina Zuchu(Tanzani), Omah Lay(nigeria) na wengine wengi ambao wamekua wakidanya vizuri katika game ya muziki.
Kwa vibao vyake vipya kama Niwewe alichomshirikisha P cast pia Kwa nini mimi alichomshirikisha Lil Caza vimeonekana kuja kwa kasi sana sokoni pia kupata nafasi ya kutokea katika redio kama iheat radio pia na majarida mbalimbali.
Mwaka 2021 umeonakana kuwa mwaka wa mafanikio sana kwa muimbaji na rapa Josephs Quartzy kwani ameonyesha kuwa yeye ni msanii na si mbabaishaji.
Ikumbukwe Josephs tofauti na usanii pia ni msanii a maigizo na muandishi wa vitabu, vijana wengi barani Africa wanatakiwa kuiga mfano wake.

Weekly Top 10 songs

Inama4:58
ONLY YOU JESUS5:44
Bikyaganye3:29
Mshamba2:44
Eazzy Ft Way Dee2:59
Sissa3:37
Daddy2:50
Nigina2:27
Kontawa Itakuaje3:22
Kama Noma5:18
Top stories
- New hitsong coming soon by Holi Ngel
21 September
- New Gospel Single 2026
20 September
- Del Mar - Work Up
22 September

Leave your comment