Nyimbo Mpya: Video Kumi Bora Tanzania Machi 2021

[Picha: Switch TV]

Mwandishi: Branice Nafula

Tumia Rafiki wenye WhatsApp

Februari umekua mwezi wa mapenzi na wanamuziki wa Bongo pia hawakusazwa katika kuachia mziki wenye maudhui ya mapenzi . Hivyo Katika nakala hii tunaangazia nyimbo 10 bora mwezi Februari mwaka wa 2021:

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Rayvanny Aachia ‘Number One' Remix Akimshirikisha Enisa

Sukari  –  Zuchu

Wimbo huu umekuwa juu ya chati kwa wiki kadhaa. Umaarufu wa wimbo huo unatokana na 'Sukari challenge' inayotawala Kenya. Video hiyo sasa imekusanya watazamaji milioni 12 ndani ya wiki nne.

https://www.youtube.com/watch?v=CCmItvVgn6Q

Number One Remix - Rayvanny ft Enisa

Hii ni video ya pili kutoka kwa albamu yake ya Rayvanny ‘Sound From Africa’. Rayvanny amemshirikisha binti muamerika Bi Enisa Nikaj.

https://www.youtube.com/watch?v=MbRkyXd4ohA

Hesabu - Christina Shusho

‘Hesabu’ ni kazi yake ya pili Christina tangia mwaka uanze huku akitarajiwa kuachia nyimbo zaidi mwaka huu.

https://www.youtube.com/watch?v=he5DFZPs6jY

Leo Leo - Nandy ft Koffi Olomide

Huu ni wimbo wenye mdundo wa Lingala huku wanamuziki hao wakitumia mbinu ya lugha nyingi ikijumuisha Kilingala, Kiingereza, na Kiswahili.

Soma Pia: Nyimbo Tano za Rayvanny Zilizompa Umaarufu Bongo

https://www.youtube.com/watch?v=vbJBI9UxSmk

All Night –Harmonize ft Anjella

Wimbo huu umekusudiwa kuonyesha uzuri wa bongo ulimwenguni. Hivyo Harmonize na Anjella walifanya kazi nzuri na sauti zao na Kanda ya kuvutia.

https://www.youtube.com/watch?v=D8fmQfzrGgo

Valentine - Rayvanny

Rayvanny aliacha wimbo huu kusherehekea mwezi wa mapenzi. Aliwakumbusha wapenzi jinsi ya kutendeana wakati ulimwengu uliadhimisha siku ya wapendanao.

https://www.youtube.com/watch?v=TWbPaDHonrc

Kiuno - Rayvanny

Huu ni wimbo kutoa albamu ya ‘Sound From Africa’. Kiuno ni wimbo ulipoelewa vizuri na mashabiki wa Rayvanny.

https://www.youtube.com/watch?v=r573wpRMtaA

Far Away - Lavalava ft Diamond Platnumz

Huu ni wimbo mojawapo kutoa EP ya Rayvanny almaarufu Promise. Lava lava kamshirikisha Diamond kuangazia umuhimu wa mapenzi.

https://www.youtube.com/watch?v=5JP6Ikdu-K4

Bomba - Kayumba

‘Bomba’ ni toleo jipya la maudhui ya upendo ambapo Kayumba anaelezea ni kwa nini anampenda mrembo wake.

https://www.youtube.com/watch?v=ngHoTiBSBzo

Penzi la Bando - Weusi

Wimbo huu unaangazia mambo yanaotendeka katika jamii haswa uhusiano kati ya binadamu na mitandao wanayotumia.

https://www.youtube.com/watch?v=vnIeXFqYjmA

Leave your comment