Nyimbo Asili: Ngoma 5 Zilizovuma Bongo Miaka Iliyopita

[Photo Credit: Courtesy]

By: Branice Nafula

Tumia Rafiki Yako Kwenye WhatsApp

Sekta ya mziki nchini Tanzania ni mojawapo ya zile zinazoimarika haraka zaidi barani Afrika.

Miaka kumi iliopita, sekta hii haikuwa imeimarika sana, lakini wanamziki wa kizazi kipya wameleta mitindo mpaya na kubadilisha sekata hii.

Kataika nakala hii, tunaangazia wimbo asili zilizoachiliwa Bongo miaka iliyopita, na inaoendelea kufanya vyema hadi leo.

Read Also: Hussein Machozi Explains Why Alikiba is His Favourite and Not Diamond

Kidalipo - Mr. Nice

Wimb huu ulikua mojawapo wa nyimbo zake Mr.Nice na ulivuma sana. Kupitia kanda na mdundo wake, watu wengi walipenda kazi zake Mr. Nice. ‘Kidalipo’ ni wimbo wa mapenzi kati ya watu wawili wenye ahadi ya kuishi pamoja milele. Albamu yenye wimbo huu ndio iliimpa Mr. Nice fursa kujulikana katika kanda ya Afrika Mashariki.

https://www.youtube.com/watch?v=SZDXreZmZnE

Kwa Ajili Yako - Hussein Machozi

Huu ulikua wimbo wake Hussein Machozi alioutengezea nchini Kenya. Kwenye wimbo huu, amemshirikisha mtangazaji maarufu Mzazi Willy Tuva. Hussein alimwimbia mpenzi wake aliyemthamini sana. Wimbo huu ulipata kuchezwa kwenye radio na hata runinga kwa muda mrefu.

https://www.youtube.com/watch?v=GaISpQR7kus

Download Hussein Machozi Music For Free on Mdundo

Bembeleza - Marlaw

‘Bembeleza’ ni wimbo wa mwanaume ambaye anajaribu kumbembeleza msichana anayempenda. Huu ni wimbo uliomtambulisha Marlaw kwenye fani ya mziki wa Bongo. Miaka kumi na mitatu baadae bado ni wimbo unaokumbukwa kwa uzuri wake.

https://www.youtube.com/watch?v=f9rIAHb_eTg

Read Also: Hussein Machozi Advises Ibraah How to Make it in the Music Industry

Natamani – MB Dogg

Msanii MB Dogg alipata umaarufu sana miaka kumi na tatu iliyopita. “Natamani” ulikua wimbo wa mapenzi ambapo MB Dogg anamuimbia mpenzi wake ambaye amemkosa kwa muda mrefu. Wimbo huu pia unazidi kumpaa MB Dogg hadhi ya kuwa katika orodha ya waimbaji wa mziki wa Bongo asili.

https://www.youtube.com/watch?v=1BpINF-6ECA

Binti Kiziwi- Z Anton ft Pingu

Huu ni wimbo wake Z Anton ambaye anampenda Binti mrembo ambaye ni Kiziwi. Kwake Z Anton, anatamani sana kuwa na msichana huyu amueleze jinsi anavyo mpenda lakini hajui namna ya kujieleza kwake.

https://www.youtube.com/watch?v=3nwOkEzO0c0

Leave your comment