Video 20 za Muziki Tanzania zilizoangaliwa na kuingiza mtonyo mwingi zaidi YouTube mwaka 2018

Wakati tunaelekea kufunga mwaka 2018 kuelekea mwaka 2019, Mtandao wa Bongo5 umekuandalia list ya video 20 za muziki Tanzania zilizoangaliwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube. List hii imepatikana kwa msaada mkubwa na mtandao wa 'dbase' ambao ni mahususi kwa kutoa taarifa na takwimu za video zilizopakiwa kupitia mtandao wa YouTube.

More pale Bongo5

Leave your comment