Sayuni Choir Tz Yazidi Kupanda Chati Kwenye Christian Top 100 Songs Kupitia Wimbo Huu

Wimbo "Bwana Yesu Awaita" wa Sayuni Choir Tz wazidi kupanda chati kutoka nafasi ya 65 hadi nafasi ya 53 kwenye Christian top 100 (nyimbo 100 bora) kutoka mdundo.
source: https://mdundo.com/genres/270

Leave your comment