TANZANIA: Baraka The Prince Abadili Dini, Awa Muislamu

Kwa kitambo sasa hivi tunafahamu kwamba Mwimbaji wa Bongofleva Baraka The Prince amekua mapenzini na Mrembo Naj ambae ni Mwigizaji/Msanii ila hili la kubadili dini hatukua tunalifahamu.

Baraka amethibitisha kwa kusema ni kweli amebadili dini ambapo namnukuu akianza kwa kusema "Ujue mambo ya dini bro ni imani, sio rahisi kama wengine wanavyochukulia hivyo mpaka unaikana imani unakua umeamua sana, umefatilia umejua faida na hasara zake..."

https://youtu.be/CwFa9kfFWCU

 

Source: millardayo.com

Leave your comment

Other news