TANZANIA: Aslay Afunguka Siri Ya Kutoa Hit Baada Ya Hit Na Mpango Kwenda Kimataifa

Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri. Muimbaji huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia maisha ya watu ambao anaishi nao.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=1&v=u0iIjy-hwZ0

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news