Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Sababu Za Bill Nass Kutangaza Kuoa, Amtaja Alikiba Kama Mfano Bora
24 May 2018

Hit maker wa ngoma ‘Sina Jambo’, Bill Nass amefunguka ni kwa nini ameamua kutangaza kuoa.
Bill Nass amesema kuwa anaamua kuoa kutokana anapenda familia, pia wasanii wanatakiwa kuwa kama watu wengine kwani kufanya hivyo haimaanishi msanii atashuka kimuziki.
“Niliposti kuhusu kuoa na pia kuhusu nani nitamuoa nitaamua mimi sio mtu mwingine. Mtu kama Alikiba anaweza kuoa na game yake bado ipo strong kuna kila haja, na pia inatambulisha kwamba ndoa ni jambo muhimu lakini pia sisi ni wasanii na ni watu kama wengine,” Bill Nass ameiambia Wasafi TV.
Ameongeza kuwa pindi alipoenda katika harusi ya Alikiba aliguswa na jinsi mtoto wa muimbaji huyo alivyotaka kusoma dua.
“Mtoto wake alikuwa happy sana kwenye ile harusi kwa hiyo ile ilini-impress zaidi,” amesema.
Source: bongo5.com
Weekly Top 10 songs

Trust No One3:13
chile-one-so-lucky4:02
Kamwambie3:47
Joy Is Coming3:08
Buwooma2:44
Udede Ft Msomali x Malume & Samas Alifata Hela Remix6:34
Msaliti 11:25
Leo3:39
Maringo4:00
NANI ft. Kamanda Pedeshee3:56
Top stories
- The Marathon
25 April
- Who Is Bad Beric
24 April
- Cashout by monyzoh boy
24 April
- MOSS Kay
24 April


Leave your comment