Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANA: Tasnia Ya Muziki wa Bongo Fleva Yapata Pigo, Msanii Jebby Afariki Dunia
23 April 2018

Msanii wa Bongo Fleva, Jebby ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Swahiba’ amefariki dunia leo April 22, 2018 mjini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu.
Akizungumza na Bongo5 mjomba wa marehemu Jebby aliyejitambulisha kwa jina moja la Julius, amesema Jebby alikuwa anasumbuliwa na Bandama mpaka umauti umemkuta.
Wimbo wa Swahiba ulifanya vizuri miaka ya 2007/9 na wimbo huo alimshirikisha rapa Afande Sele na tayari Afande ameshatoa salamu zake za rambi rambi kufuatia msiba huo.
“Hayupo tena duniani SWAHIBA…Pumzika kwa amani mdogo wangu Jebby…Tukimaliza kazi tutavalishwa Taji“ameandika Afande Sele kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Courtesy: bongo5.com
Weekly Top 10 songs

BIkola2:58
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Buwooma2:44
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Paver2:55
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
CHAMPION GAL3:00
Nitampeleka kwa Mama (ft. Xouh)3:44
Joy Is Coming3:08
Top stories
- Daniel Sifuna
14 May
- Generation
16 May
- NEW SONG ALERT
16 May


Leave your comment