Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Rayvanny Adokeza Kuhusu Kufunga Ndoa
14 March 2018

Baada ya Diamond kuomba baraka kwa mama yake kuhusu kufunga ndoa mwaka huu, naye Rayvanny amedokeza kuhusu suala hilo hilo la ndoa.
Dokezo hilo la ndoa limekuja wiki chache baada ya msanii huyo na mpenzi wake kurejea kutoka Mkoani Mbeya, nyumbani kwa akina Rayvanny.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Ray aliweka picha yake akiwa katika vazi la suti na kuandika “Bwana Harusi” naye mpenzi wake Fayvanny hakubaki nyuma na akuamua kujibu kuashiria wapo katika michakatao hiyo ya ndoa.
“Ohh bby I can’t wait for the day... & you will be mine forever (sooooooon) @rayvanny ”
Courtesy: bongo5.com
Weekly Top 10 songs

Tudo Trocado3:17
omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Nasema3:02
CHAMPION GAL3:00
Ekinuma4:59
I AM3:12
Akaana kokukyalo2:21
Joy Is Coming3:08
BESTIE2:26


Leave your comment