Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Ujumbe Mzito Wa RAY C Kwa Marafiki Zake
7 March 2018

Staa mkongwe katika game ya muziki nchini Rehema Chalamila maaraufu kama “Ray C” ameamua kutoa ushauri kwa jamii kuhusu marafiki ambao wamejaa usaliti na kuwataka wakae mbali na kuwalinganisha na nyoka ambao mbele ya macho yako hujifanya wazuri wakati nyuma ni wabaya wako.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray C ameandika ujumbe huo nakusema
“Ukiona rafiki kakugeuka usije thubutu kuwa nae karibu tena huyo ni zaidi ya nyoka tena bora nyoka ukikutana naye harembi kujifanyisha mzuri kwako anakugonga tu fasta kabla hujamdhuru kuliko anayejifanya kwako mzuri ukigeuka anakun’gon’ga Rafiki Mashwain kibao mjini!☠
Weekly Top 10 songs

BIkola2:58
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Buwooma2:44
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Paver2:55
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
CHAMPION GAL3:00
Nitampeleka kwa Mama (ft. Xouh)3:44
Joy Is Coming3:08
Top stories
- Daniel Sifuna
14 May
- NEW SONG ALERT
16 May
- Generation
16 May
- 2 new songs are out
15 May


Leave your comment