Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: ‘A Boy From Tandale’ Kutoka March
26 February 2018

Hayawi hayawi sasa yamekuwa hatimaye albamu ya Diamond Platnumz ya ‘A Boy From Tandale’ yenye ngoma takribani 20 kutua mwezo ujao.
Albamu hiyo inatarajiwa kutua rasmi mwezi ujao tarehe 16 huku ikiwa na hit kibao kama, ‘Hallelujah’ aliyoshirikisha Morgan Heritage’, ‘Waka Waka’ aliyomshirikisha Rick Ross, ‘Marry You’ aliyomshirikisha Ne-Yo , ‘African Beuty’ aliyomshirikisha Omarion pamoja na ngoma zingine alizofanya mwenyewe kama ‘ Sikomi’ pamoja na zinginezo kutoka kwa wasanii kutoka Afrika.
Kwa mujibu wa meneja wa msanii huyo Sallam SK, kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameweka rasmi tarehe hiyo huku akiujuza uma kuwa kwa sasa unaweza kutoa Pre-Order albamu hiyo.

Source: bongo5.com
Weekly Top 10 songs

Tudo Trocado3:17
omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Nasema3:02
CHAMPION GAL3:00
Ekinuma4:59
I AM3:12
Akaana kokukyalo2:21
Joy Is Coming3:08
BESTIE2:26
Top stories
- Don't copy
15 July
- Coming soon song
14 July


Leave your comment