TANZANIA: Ni Hussein Machozi Tena…. Katuletea ‘Nipe Sikuachi’
10 May 2017

Ni headlines za Mwimbaji kutoka Bongo Flevani, Hussein Machozi ambae watu wengi walikuwa na kiu ya sauti yake kwenye spika za Radio sasa time hii staa huyo ametuletea video ya single yake mpya iitwayo ‘Nipe Sikuachi’ iliyofanyika nchini Italy.
Tazama video yake Hussein Machozi hapa:
Source: millardayo.com




Leave your comment