TANZANIA: Diamond amwaga noti kwenye sherehe ya Cookie

 

Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania Naseeb Abdul, alimaarufu kama Diamond Platnumz siku ya jana ya tarehe 22 May amemwaga pesa nyingi kama zawadi yake ya kutimiza mwaka mmoja tangu azaliwe na siku ya jana hiyo iyo kubatizwa kanisani. Mtoto huyo aitwae Cookie, baba yake mzazi anaitwa Moseiyobo ambaye ni dancer wa Diamond na mama yake anaitwa Auntie Ezekiel ambaye ni muigizaji wa filamu nchini.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment

Other news