TANZANIA: Jux na “African Boy”

Msanii wa muziki wa bongo fleva wa nchini Tanzania, Juma Mussa Mkambala a.k.a Jux amejikita kwenye biashara pia. Juma Jux amekuja na Brand inayoitwa AfricanBoy. Brand hiyo imetoa bidhaa kama ma-tshirt, mabegi, na hivi karibuni ametoa kiatu cha African Boy.. Jux ni moja kati ya mastaa nchini wanaofanya kazi nyingine mbali na usanii akiwemo Wema Sepetu na Brand yake ya Kiss By Wema pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata na brand yake ya Lavy polish.
Unaweza kutazama hapa baadhi ya bidhaa alizonazo Juma Jux kutokana na Brand yake ya African Boy:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave your comment