Kaskie Vibaya Lyrics

Chemichemi za uongo

Story za jaba ndio utingize ubongo

Ndio ubebe ka wale tikiza kamongo

Bariba riba raba ana maringo (Ringooo)

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Ayi wewe

Kaskie vibaya huko kwenu

Anha

Niko na pesa na ni za babako

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

AnhaNilifika jiji nikakutana na budako

Akaniambia ka ni vako

Hapendagi za mamako

How kisirisiri tukakutana kwako

ni click click bang tu

Ju ya kitando chako

Hamna hela nini

Mnateseka nyinyi

Unalipa madeni na pochi yako

Miaka ni ishirini,

Huko chini sitini na

Mneti unatuvunjia mgongo

Ulinipa ka chance

Na nikapita nako

Ulipo nipiga intro siku ya introduction

Anani finance na school fees zako

Alinipeanga info

Kwanza yeye si babako

Unapenda wababa

Huonei watoto wako huruma

One shot na kwani hupendi utamu wa nduma

Pesa hukutekenya tekenya sana

Wee rudi ukakune wababa duruma

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenuKaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Ayi wewe

Kaskie vibaya huko kwenuAnha

Niko na pesa na ni za babak

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu

Najua unaskia vibaya

Mii vibaya

Eeh Vibaya

Nenda zako

Si naenda kwenu

Kwetu wapi

Kwa Babako

Mii sikutusi lakini kudadadadeki

Sikudharau lakini wee hudunga ndula feki

Uso marangi uko sure hauniseti

Cake and bake

Hii ni quality za Fenty

Chemichemi za uongo

Story za jaba ndio utingize ubongo

Ndio ubebe ka wale tikiza kamongo

Bariba riba raba ana maringo (Ringooo)

Niko na pesa kushinda babako

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Ayi wewe

Kaskie vibaya huko kwenu

Anha

Niko na pesa na ni za babako

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie kaskie

Kaskie vibaya huko kwenu

Kaskie vibaya huko kwenu