• Stream Mbosso - Review - Huyu hapa

    Review - Huyu hapa

    Mbosso

    1:20

Lyrics

Kabla ya kuiachia EP yake ya kuitwa KHAN, nyota wa muziki kutokea WCB Wasafi Mbosso Khan alitanguliza kionjo cha moja ya wimbo uliokuwa katika EP hiyo na kufanya mashabiki wa msanii huyo kupendezwa na wimbo huo alioupa jina la Huyu hapa. Ujio wa EP hiyo ya Khan ni mara baada ya kuiachia Album yake iliyokuwa na mafanikio aliyoipa jina la Definition of Love mwaka 2021.

Kionjo hicho wa wimbo huo kilianza kusikika katika moja ya video fupi aliyoiweka katika akaunti yake ya Instagram na kufanikiwa kuteka masikio pamoja na hisia za wasikilizaji mbalimbali wa msanii huyo ambaye pia mapema mwaka huu aliripoti katika moja ya mahojiano yake kuwa na maradhi ya moyo.
View more

The stars picked your song!✨

Select your sign to find your song of the moment

Aries
Mar 21 - Apr 19
Taurus
Apr 20 - May 20
Gemini
May 21 - Jun 20
Cancer
Jun 21 - Jul 22
Leo
Jul 23 - Aug 22
Virgo
Aug 23 - Sep 22
Libra
Sep 23 - Oct 22
Scorpio
Oct 23 - Nov 21
Sagittarius
Nov 22 - Dec 21
Capricorn
Dec 22 - Jan 19
Aquarius
Jan 20 - Feb 18
Pisces
Feb 19 - Mar 20

♏ ScorpioOct 23 - Nov 21  •  Element: Water  •  Rulling Planet: Pluto  •  Traits: Intense, mysterious, and transformative

Element: Water  •  Rulling Planet: Pluto  •  Traits: Intense, mysterious, and transformative

Transformation is your power — Mindset by Eyamu Jimizani gives you the intensity and depth to turn challenges into breakthroughs.

    Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

    By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

    Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

    I am a musician! - Log in or Sign up