• Stream Mbosso - Mbosso  Shetani - Uchambuzi

    Mbosso Shetani - Uchambuzi

    Mbosso

    1:12

Lyrics

Moja kwa moja mpaka Afrika ya kusini ambapo Mbosso ametupeleka na kuwakutanisha Costa Titch pamoja na Alfa Kat katika wimbo uliopewa jina la Shetani ambao pia unapatikana katika Extended Playlist ya msanii Mbosso aliyoipa jina la Khan.

Hii ni mara ya pili kwa Mbosso kumshirikisha Costa Titch baada ya kuachia naye wimbo wa Moyo ambao ulitoka pia mwaka huu mnamo mwezi Juni kabla ya video kuiachiliwa mwezi Julai.

Wimbo wa Shetani haujaachana sana na maudhui ya ngoma ya Moyo ambazo zote zimejikita katika kula bata na kuponda maisha na hii ndiyo njia sahihi ya Mbosso aliyoiona katika uandishi wa kazi zake za Amapiano.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up