• Stream Mbosso - Mbosso Moyo ft Costa Titch & Phantom Steeze - Uchambuzi

    Mbosso Moyo ft Costa Titch & Phantom Steeze - Uchambuzi

    Mbosso

    1:32

Lyrics

Ikiwa mashabiki wengi wa mwanamuziki Mbosso Khan kuwa na mazoea ya kupata nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi na kubembeleza kutoka kwake lakini awamu hii nyota huyo kutokea lebo ya WCB ameweza kuja kiutofauti baada ya kuachia wimbo wa MOYO ambao umejikita katika mtindo wa Amapiano wenye asili yake Afrika ya Kusini.

Wimbo huu wa Moyo Mbosso Khan ameweza kuandika kwa utofauti na kwa kipekee ukilinganisha na kazi zake nyingine kama vile For your love aliyomshirikisha Zuchu, Mtaalam, Nadekezwa pamoja na Yala zikiwa ni kazi zake alizozifanya mwenyewe ambazo hizi zote ni ngoma zilizojaa hisia za mapenzi ukilinganisha na Moyo ambao ni wimbo wenye kumtaka kufurahia maisha baada ya kupitia na kuchoshwa na harakati za maisha.

Kutokea Afrika ya kusini Khan amemshirikisha Costa Titch pamoja na Phantom Steeze ambaye pia anatokea hukohuko Afrika ya kusini. Katika wimbo wa Amapianao pia vionjo vyenye ladha ya Bongo Fleva vimeweza kuongezwa na kwa pamoja vimeweza kufanya wimbo huu kunoga zaidi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up