Lyrics

Baada ya kushindwa kushiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza nchini Qatar kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akiwa mazoezini hatimaye Christopher Nkunku atawasili Uingereza kwenda kuichezea Chelsea kwa mkataba wa muda mrefuMchezaji huyo ambaye anakipiga huko Rb Leipzig inasemekana mchongo huo wa kwenda Chelsea utagharimu Paundi Milioni 70 kwa ujumla na kuanza rasmi kuichezea Chelsea msimu ujao na siyo Januari kama ilivyotarajiwa.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 25 kwa sasa ndiye kinara wa magoli huko Bundesliga ya Ujerumani akiwa na jumla ya mabao 10 aliyoifungia RB Leipzig kwa msimu huu mpaka sasa. Makubaliano hayo ya Chelsea na usajili wa Nkunku mpak sasa ni makubaliano ya maongezi pekee ambayo yako katika hali nzuri baina ya pande zote na kinachosubiriwa ni mikataba kusainiwa na Nkunku ajiunge na Chelsea katika msimu ujao huku kukiwana taarifa ya kuwa vipimo vya kitabibu tayari vimeshakamilika kwa mchezaji huyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up