- 1:39
Zuchu Mtasubiri ft diamond
Zuchu
Lyrics
Kwa mara nyingine tena wasanii kutoka WCB Zuchu pamoja na Diamond Platnumz wamekutana katika kazi ingine waliyoipa jina la Mtasubiri. Ngoma hii ni ngoma ya tatu kwa wasanii hawa kutokea lebo moja ambayo wamefanya pamoja baada ya kazi zilizopita kama vile Cheche pamoja na Litawachoma zote zilizotoka mwaka 2020.Mtasubiri ni wimbo wa kwanza unaopatikana katika EP ya Diamond Platnumz aliyoipa jina la First of All ikiwa ni video inayoongoza kwa watazamaji wengi huko mjini Youtube kwa upande wa wasanii wa Tanzania kwa mwaka huu 2022.
Wimbo huu uliachiwa wakati mahususi kabisa mara baada ya tetesi za mastaa hawa kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na hii kuufanya wimbo huu kupata mvuto na kuteka masikio ya wasikilizaji wengi. Baadhi ya watu waliuongelea wimbo huu kama Showbiz mpaka pale ilipotimu siku ya kuzaliwa ya msanii Zuchu baada ya taharuki kutanda kutokana na video mbalimbali zikathibitisha ukweli wa penzi lao.
View more
More songs by Zuchu
- Siji (Review)1:16
- Fire Zuchu - Uchambuzi1:46
- Zuchu Love ft Adenkule Gold - Uchambuzi1:23
- Kwikwi Zuchu - Uchambuzi1:42
- Zuchu - Utaniua Review1:12
- Jaro Zuchu - Uchambuzi1:32
- Zawadi ft Dadiposlim (Review)1:32
- Honey (Review)0:33
- Naringa (Review)1:20
- Chapati (Review)1:27
- Nani Remix Ft. Innoss'B - Mdundo Podcast0:49
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.